JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Regency, Madeira, sherry
Hizo mjomba akitoka zake China huja nazo kibao.

Ya kibongo naona Image naikubali sanaaa!!
Fortified wines zote zina mziki kwenye kulewa! Na zote ni strong!

Unakunywa capirinya??
Mimi bia imenishindaa!!

Za TBL zote zimenishinda, Heineken nayo imenishinda.

Nimejaribu Budweiser naona inanishinda.

Spirits nazo zimenishindaaa kabisaaaa.

Cider harufu ya Apple imenishindaa,

Liqueurs naona kama nadanganywa afu not naturals.

Nakunywa wine tu, tena red sweet wine ambayo ni fortified.
Asee hii party naona Mohans ndio watahusika ktk vinywaji ,TBL ,SBL na TDL imekula kwao
 
Sket ndo ugonjwa wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu naokutana nao wanazimua pombe balaa, zikiwapandaa napewa vyotee!!
Of course.... Kuna vilevi viwili tu hapa on earth pombe or sketi! Japo kuna wabishi[emoji15]

Mwanamke ambae anakunywa pombe analewa halafu analiwa huwa namshangaa na kustaajabu sana!

Yaaan I can't get it![emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
No, simpi pombe ili alewe ndo nimgegede.

Anakuwa willing, sema wengine pombe inampa ujasiri wa kufanya mengii
 
Hapo sawa!....nilifikiri una kula vibudu[emoji15] [emoji15]
No,
Sijawahi kubaka mimi.

Nishalala na dem ambae alilewa chakar lkn sikumgusaa.
Aliniambia toka mwanzo nisimfanye chochotee.

Ila najuta mana kwa sasa ni star, inaniuma sana [emoji39][emoji39][emoji39]. Juzi kati namwambia we mtoto najuta kwanini siku ile nilikuacha, anajichekesha tu, ila kanihaidi atanipaa siku mojaa lkn mpk nituliee [emoji85][emoji85][emoji85]

Ila ingeniumiza sana km ningemfanya siku ile, ni ubakaji ule.
 
Haaaahaaaaa....we jamaa bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] very fun haahaaa!

Asee ungemla kalewa angekulaani wadada hawapendi mambo hayo!
 
Haaaahaaaaa....we jamaa bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] very fun haahaaa!

Asee ungemla kalewa angekulaani wadada hawapendi mambo hayo!
Ningejisikia aibu sanaaa,
Ananichukulia mchizi flan hivi, afu inakuaje namfanyia mambo hayoo.

Manz mwenyewe hana mchiz mpk sasa, afu hapend ishu za ngonoo
 
Back
Top Bottom