General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Aya bhanaaWewe hujui kuwa tumetofautiana vichwa?[emoji15] [emoji15]
Kilevi changu sio kilevi chako.....hatufanani vichwa get point!
Mi sina bahati kabisaa, nimezungukwa na pombe ila pombe hazinitakii.
Kila nikijilazimisha zinaniumizaa sanaa.