JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Pamoja na kwamba sipendi kujichanganya hila hii nitafika mapema sana.

Nitakutana na wanaonifahamu lakini nani anajua mm ni nani JF!! Akunaaa.

Nikimuona nifah wa the bold nitamjua tu ahaaa..

Ila lemutuz akijitokeza narudi home mda huo huo kulala.

Wazo zuri mzigua.
Lemutuz mshkaji wangu itabidi awepo tuu mkuu.
 
Ok,
Kama ni ukumbi nitawafanyia punguzo la 70% kwenye ukumbi, mtupe tenda ya chakula la vinywaji. Ni ukumbi matata kwa Dar, na ndo tunakimbiza kumbi zote za harusi.

Ila kama mtafanya ya kibabe flani hivi, mnazima pale Buckets au nextdoor, tunafanya mazambi ya kutoshaaa.
Bucket naweza kupata bila tatizo.
 
Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Kujulikana julikana nako sio kuzuri !
 
Kama una mabaya unajificha nayo
Hasa watu kama sisi tusio eleweka eleweka,na mabaya yetu lukuki. Sasa tukijuana ndio hatari.

Watu kama sisi kupiga picha mwicho,sasa tukijichanganya na ikatokea tumejitambulisha,daah sijui itakuwaje.
 
Hasa watu kama sisi tusio eleweka eleweka,na mabaya yetu lukuki. Sasa tukijuana ndio hatari.

Watu kama sisi kupiga picha mwicho,sasa tukijichanganya na ikatokea tumejitambulisha,daah sijui itakuwaje.
Ndo uje na jina lako ukajiita hili tu tunakujua
 
Back
Top Bottom