witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Don't tell me huh?Bia sio pombe mkuu. Tena safari zinaongeza damu sana kwa mjamzito. Toka nimeanza kuzinywa damu yangu haikuwahi kupungua. Wakati nilikua nakula matunga nakunywa rozela beetroot haipandi. Kunywa safari tu nikasahau shida za kuambiwa damu inapungua