General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Mpya, una mwaka na nusu sasaOoh. Siujui huu
Ninekuelewa,japokuwa siwezi kutokea maeneo hayo.Yani uje na jina lako halisi sio ukifika utumie Zurri
MTU mmoja tu akikujua basi utajulikana tu, wanasemaga MTU kidole /kidole risasiYani uje na jina lako halisi sio ukifika utumie Zurri
Hahahaha, mie Nita kuchangia asee ili ufanikiwe lkn kuja ,mmmh sidhaniWale wambea labda
Uko sahihi bro,tunatofautiana vifua,wengine vifua vyao dhaifu kuliko nyumba ya bui bui,akikujua huyo basi wengine lazima wakujue.MTU mmoja tu akikujua basi utajulikana tu, wanasemaga MTU kidole /kidole risasi
Ukitaka kuufaham utaufaham tu.Siufahamu yani.
Wewe tamko "Mkuu" huwa unalitumia kwa minajili gani au ipi ?Yani uje na jina lako halisi sio ukifika utumie Zurri
Umeona eeh ,tuishia hapa,muhimu party ifanyike kwa asilimia zoteUko sahihi bro,tunatofautiana vifua,wengine vifua vyao dhaifu kuliko nyumba ya bui bui,akikujua huyo basi wengine lazima wakujue.
Hatari sana hii.
Umeona eeh ,tuishia hapa,muhimu party ifanyike kwa asilimia zoteUko sahihi bro,tunatofautiana vifua,wengine vifua vyao dhaifu kuliko nyumba ya bui bui,akikujua huyo basi wengine lazima wakujue.
Hatari sana hii.
Haina noma !Umeona eeh ,tuishia hapa,muhimu party ifanyike kwa asilimia zote
Yeah....cocktail si mchanyanyiko wa vitu so si ajabu na majina yakatoka humo kwenye hard drinksAfu kuna cocktail inaitwa Caprinha kama sijakosea
Kama unaendaga Golden memory we mangi ntakuwa nakumanya[emoji15]Kama hutojali njoo Golden memory,
Sinza mori, unywee usazeee[emoji39][emoji39]
Sinza mori.... LiukumbiGolden memory iko kwa wapi hiyo mkuu?
Hapo sasa!....shida mtu mmoja kama anakujua full kukutangaza umemumuona "mtu chake" ndo huyu...so what????MTU mmoja tu akikujua basi utajulikana tu, wanasemaga MTU kidole /kidole risasi
Hapo ndo pagumu!!!Hapo sasa!....shida mtu mmoja kama anakujua full kukutangaza umemumuona "mtu chake" ndo huyu...so what????
Hahaha, na baada ya party tegemea baadhi ya ID kupotea na ID mpya kuibuka , Post na comments za kiaina Fulani kuwepoHapo sasa!....shida mtu mmoja kama anakujua full kukutangaza umemumuona "mtu chake" ndo huyu...so what????