Hili nakuahidi kuchanga tena kwa nguvu na moyo wote ,wala usihofu ,najua km sio Leo basi kesho utakuja na Uzi kamili itakavyokuaUsije we changa tu
Ndio maanake hivi wewe ndio huyo ama umbile ni kama hiloUle ubuyu eeh
Naomba basi untolee Mimi mbona hunijibu thathaHili nakuahidi kuchanga tena kwa nguvu na moyo wote ,wala usihofu ,najua km sio Leo basi kesho utakuja na Uzi kamili itakavyokua
Uoga tu. Kama mtu haishi uhalisia wake ndo atabadili Id kuogopa kusakamwa. Mi labda niibue bebe siku hiyo ndo naweza badili Id ila kuogopa watu kunijua wala siogopi maana mi ni raia mwema kabisa anaeishi kwa kufuata sheria za nchi sasa kwanini niogope kujulikana?Hahaha, na baada ya party tegemea baadhi ya ID kupotea na ID mpya kuibuka , Post na comments za kiaina Fulani kuwepo
Leo kabla hakujakuchwa. Bahati nzuri nimeshapata msaada wa kushirikiana na mmoja wa waandaaji wa zilizopita so natumaini kila kitu kitaenda sawaHili nakuahidi kuchanga tena kwa nguvu na moyo wote ,wala usihofu ,najua km sio Leo basi kesho utakuja na Uzi kamili itakavyokua
Usijari RafikiNaomba basi untolee Mimi mbona hunijibu thatha
Ila?Hapana mkuu.
Hilo ndo jibu[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Usijari Rafiki
Hahahaha, huwa napenda watu wajirusheHilo ndo jibu[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Ahsantee
Muaandaaji hapa kuna wazo ujue,jaribu kuweka activities Fulani ndogo ndogo za kuvutia ,watu wajishindie hata chupa za champagne/wines , mfn couples bora ya JF, mchangiaji bora ,vitu km hv (wazo tu)Ikitokea msisahau kunitagi,
Ntatoa ndafu 1 siku hiyo itakatwa na "kapo" maarufu sana hapa jf itakayokua tayari.
Sawa...ntakuwepo km woteHahahaha, huwa napenda watu wajirushe
Hahahaha, vzrSawa...ntakuwepo km wote