JF Party On My Mind

Ziwepo tu bia za kutosha. Safari, Castle lager, balimi, Serengeti lager muhimu. Kusoma risala niachieni mimi.
 
Natumai Mkuu ukiacha Mchango wa kawaida ,uta Top Up hapo chupa kadhaa ,watu walanduke vzr

Mimi sitahudhuria, gathering za hivyo huwa siyo mpenzi.

I can do ile ya watu wachache sana, wasiozidi 20, ambao ni rahisi kukata meza moja, ila hiyo hata nikihudhuria sitainjoy.

Kwenye za watu wengi hivyo huwa najikuta nimejitenga automatically.
 
Nadhan watu watakuwa wanakutana..Anyway uko wapi ww i hope tunaweza meet this week or next..Mi niko Dar bt after 2 weeks from this one i will be at Moro

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Mimi sitahudhuria, gathering za hivyo huwa siyo mpenzi.

I can do ile ya watu wachache sana, wasiozidi 20, ambao ni rahisi kukata meza moja, ila hiyo hata nikihudhuria sitainjoy.

Kwenye za watu wengi hivyo huwa najikuta nimejitenga automatically.
Kaah!don!!! [emoji57]njoo bwana utakaa na Mimi mpk mwisho!
 
Mimi sitahudhuria, gathering za hivyo huwa siyo mpenzi.

I can do ile ya watu wachache sana, wasiozidi 20, ambao ni rahisi kukata meza moja, ila hiyo hata nikihudhuria sitainjoy.

Kwenye za watu wengi hivyo huwa najikuta nimejitenga automatically.
We km Mimi ,watu wachache huwa nazipenda ,ila hii tuwachangie wa enjoy kdg wadau
 
Muaandaaji hapa kuna wazo ujue,jaribu kuweka activities Fulani ndogo ndogo za kuvutia ,watu wajishindie hata chupa za champagne/wines , mfn couples bora ya JF, mchangiaji bora ,vitu km hv (wazo tu)
Wazo zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…