JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Kuna tajiri anaitwa Mikwara Ya Andunje amesema vinywaji ni juu yake... (Joking).

Ila ukweli utaratibu wa kuchangia equal amount nadhani ungekuwa favorable kwa kila mmoja.

Unakuja ukiwa na confidence ya kwamba unakula cha kwako, mambo ya watu kuahidi ntatoa hiki wakati mwingine yana disappoint pale aliyetoa ahadi akikwama last minute.
Kwa mfano mchumba unaweza toa offer ya champagne kwa best couple.
 
Mm ninawazo kuw wanajf wakutane ila ni kwakila mkoa tutajitambulisha na kutaja mkoa. Ukimpata wa mkoa wako ndo mpaka jinsi yakukutana na kuenjoy.
 
Back
Top Bottom