JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Mkuu unataka kugharamika each n everything?

Wee ndo mwanaume sasa!
Not each and everything, ni katika kunogesha tu,wahudhuriaji wapate japo ka wine kwa watakao vutia lkn kwa aina ya majibu, nachelea kusema ahsanteni ,nitachanga kawaida tu
Wee wasiwasi wako ni nini?
 
Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.

Hmm ninawasiwasi nawee[emoji30]
 
Nisha tembea na wake za watu maarufu humu kundini.

Sasa si wivu utatuletea mabalaa tukikutana.

Au itakuwa ni yule mwenye kisu kirefu ...
 
Aah best ake tubadili location kuna chimbo tamu la wahindi Ryan's bay hotel. Mambo murua hakuna shtua roho hee weee katoto kilichokuleta hapa[emoji23][emoji23]
Leo nipo hapa Ryans bay siku ya tatu.

Wana mwanza karibuni PM
 
Back
Top Bottom