Hahaaa. Najaribu tu hizi fani zenu wakati siziwezi.Hahahhahahahahhahahahahahhahahahha khaaaa mkuu una ubuyu mtamu mtamu eeeh
Ukweli ni kwamba humu kuna vidume huwa vinajimilikisha warembo ingawa siye UNDERGROUND tunabeba mzigo KIMYA KIMYA ....
Mbaya zaidi kuna mizigo ukiisuuza roho inaanza kutoa CV za hao MAARUFU wanaojimilikisha.
Dunia ndivyo ilivyo bora kukaa kimya tu.
Take care mkuu.