Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo kusema nawe umo kwenye list cheupeKwahiyo mkuu hawa wenye couples mademu zao umewala mbunyeee[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Safiiiii na ngoja nianze kutembea kifua mbelehogo ni la pili
I see[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Safiiiii na ngoja nianze kutembea kifua mbele
Jibu huko unanicheka[emoji23] [emoji23] muoneHahahahahaaa...
Mkuu huo unaoufanya ni utoto na hakuna mwanamke atasoma ulichoandika huku atataka urafiki na wewe..Uuuwwiii. Naomba usinigombanishe na watu humu. Wengine sijui wana majini.
Kwa ufupi sijala mbunye za watu. Ila kuna wawili watatu walisifiwa sanaaaa kwa muda mreeefffuuuu.
Sasa siye marijali huwa tunapatwa na swali moja WHY? na la pili KWANI YUKOJE/ANA NINI CHA ZIADA?
Kisha hujitosa ili tusiondoke Duniani pasipo kulamba hizo dhahabu.
Any way usiulize swali jingine kama hili ambalo nia yako ni kutaka kuwatambua walengwa. Elewa hadi hapa baasssiiii.
[emoji106] tutakula kwa macho [emoji102]Itabidi mvumilie tukidamshi na mabeb zetu
[emoji16]Huu naanza kugundua JF kuna wadada walevi/wanywaji wa pombe Kali tu ,na km ni bia basi ni Savannah,Heineken ,Windhoek ,wakuu mjipange siku hy ya party. Hakuna mdau humu wa SBL ,TBL wala TDL mbozi road
Zaidi ya kasi ya fisi usikuMambo yanaenda kasi sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]I see[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahaaa. Labda wewe maana HAMFANANI.Mkuu huo unaoufanya ni utoto na hakuna mwanamke atasoma ulichoandika huku atataka urafiki na wewe..
Tupange yetu sasa bestDar mna raha
Ndiyo sababu, mdogo wangu huyo namwelewa sana.Itakua ndo sababu [emoji23] [emoji23]
Ndiyo sababu, mdogo wangu huyo namwelewa sana.
Njoo, nimeshamaliza ile ishu.Halafu wewe sijamaliza maongezi na wewe ujue.