Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nyie maskini hamtachangia chochote !! Najitolea kugharamia vinywaji na chakulaMchango usizid elfu10
Nimekumiss pia shosti ake.
Sisi tutakutana gold crest[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naomba poti asikoseAah best ake tubadili location kuna chimbo tamu la wahindi Ryan's bay hotel. Mambo murua hakuna shtua roho hee weee katoto kilichokuleta hapa[emoji23][emoji23]
Kweli hii ni "mikwara ya andunje"[emoji15]Naunga mkono hoja
Mimi km tajiri mkuvws hapa Dar nitagharamia vinywaji kwa wanaJf wote watakaojitokeza
Bila kusahau coyple tatu zitakazopendeza zitapata nafasi ya kupiga lunch na dinner kwenye apartment yangu iliyopo Masaki kisha watalala hapo hadi majogoo
Na Mwifwa .hawa madogo pamoja na Mshana Jr wanapenda sana ubwa bwa ...Nitasimamia swala la ulinzi mlangoni maana Da'Vinci na Joseverest hawakawii kubeba vyakula kwenye mashati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naomba poti asikose
Kaka karibu nyumban it is swalehe bath day today. I think you gotta meHivi ww ile tabia ya kugombania ukoko ushaacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wooooiiii[emoji125][emoji125][emoji125]umeshaanza kualika watu [emoji23] [emoji23] [emoji23]khee tusijeshushuka kama gari la miss Tanzania
Kwa hiyo na mm naweza pata wa kugonga ... Maana sijaeah gonga toka nzaliweEnzi nikiwa anonymous niliona JF party ishatokea watu 'waligongana' balaa nanii zilikutana vya kutosha
Watoto walipatikana wa kutosha,michepuko ya kudumu na ya muda mfupi hewalaa
wenye akili walidaka madili ya maana
etc etc etc
Kwa hiyo na mm naweza pata wa kugonga ... Maana sijaeah gonga toka nzaliwe
Hatuwez kukualika mkuu ... Hatuwez kabisa ... Hata kidogo ... We jamaa mlafi sana ... Sisahau ulivyosumbua party iliyopita ... Ukakimbia na sahan aaah na lili li poti lako ulilokuja ... Nalo ...# masihara ... Usntukane kizungu ... Hata sikijuiHii mkipanga lazima nije...
Ila nikija nikiwakuta baadhi ya watu then it’s going down.
Bombs away and straight up ass whupin maana ugomvi wangu huwa hauishi.
Just make the date and I’ll show up ready to catch fade.
Heee yu a yusingi batani ... Ooh my gadi kamoni bebi ... I wili bai yu ai foni sirii[emoji125][emoji125][emoji125]oohooo sijui kitufe cha kulog out kipo wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Mchango usizid elfu10