JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Naunga mkono hoja
Mimi km tajiri mkuvws hapa Dar nitagharamia vinywaji kwa wanaJf wote watakaojitokeza

Bila kusahau coyple tatu zitakazopendeza zitapata nafasi ya kupiga lunch na dinner kwenye apartment yangu iliyopo Masaki kisha watalala hapo hadi majogoo
Kweli hii ni "mikwara ya andunje"[emoji15]
 
Hii mkipanga lazima nije...

Ila nikija nikiwakuta baadhi ya watu then it’s going down.

Bombs away and straight up ass whupin maana ugomvi wangu huwa hauishi.

Just make the date and I’ll show up ready to catch fade.
Hatuwez kukualika mkuu ... Hatuwez kabisa ... Hata kidogo ... We jamaa mlafi sana ... Sisahau ulivyosumbua party iliyopita ... Ukakimbia na sahan aaah na lili li poti lako ulilokuja ... Nalo ...# masihara ... Usntukane kizungu ... Hata sikijui
 
Back
Top Bottom