RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Wahudhuriaji wanachanga. Kazi yako ni ku-organize.Kuandaa changamoto ni fweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahudhuriaji wanachanga. Kazi yako ni ku-organize.Kuandaa changamoto ni fweza
White party ndio ya kwanzaKulishakua na white party kumbe? najuaga ya escape tu
Nitakupitia twendeSiji ng’oo
Hapo pa kulana akili kumkichwa. Madeal ni jambo zuri zaidi ambalo ndo nimeliangalia zaidi kwenye huo mkusanyiko.Enzi nikiwa anonymous niliona JF party ishatokea watu 'waligongana' balaa nanii zilikutana vya kutosha
Watoto walipatikana wa kutosha,michepuko ya kudumu na ya muda mfupi hewalaa
wenye akili walidaka madili ya maana
etc etc etc
Elf 10 ,mmmh hizo gharama zikoje ,hebu jaribu kufanya rafu bajeti , ya ukumbi ,vinywaji na bites kdgNadhani elfu 10 inatosha kabisa na usawa huu tena.
Ikitokea hiyo party ikafanikiwa siku hiyo mtu wa kupiga nae story itakua ni wewe hakuna mwingine tena....Ukienda kumuona nibebe twende wote rafiki..
Umeambiwa lazima watu wote wahudhurie? Hii ni hiyari ya mtu na muda wakeUnapotaja Party ya wajf wote ujue jf sio kikundi kidogo cha watu jf imebeba watu wa sehemu tofauti tofauti kuanzia ndani ya nchi mpaka nje ya mipaka ya Tanzania sasa utawakusanyaje watu hawa kwa pamoja?
UtafeliNadhani elfu 10 inatosha kabisa na usawa huu tena.
Yiih.. hapo kwenye couple najitafutia partner mapemaa nikalale kwenye upepo unapovumaNaunga mkono hoja
Mimi km tajiri mkuvwa hapa Dar nitagharamia vinywaji na chakula kwa wanaJf wote watakaojitokeza
Bila kusahau couples tatu zitakazopendeza zitapata nafasi ya kupiga lunch na dinner kwenye apartment yangu iliyopo Masaki kisha watalala hapo hadi majogoo
Mlijitambulisha kwa ID zenu za JF au mlikutana kibubu mazee?Mwaka Jana tulikutana baadhi ya member tulikuwa 20+ .
Hakika ilipendeza sana.
Hii pia Mimi nipo tayari
Mscheewww. We mnyatunzu hatuandai uwanja wa pambano ila kula bata. Siku hiyo utakua bby wako nakubana hutapata nafasi hata ya kunyoosha kidole.Hii mkipanga lazima nije...
Ila nikija nikiwakuta baadhi ya watu then it’s going down.
Bombs away and straight up ass whupin maana ugomvi wangu huwa hauishi.
Just make the date and I’ll show up ready to catch fade.