Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Naona hivyo hata mmUtafeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona hivyo hata mmUtafeli
Hahaha najua jinsi inavyokuuma, pole sana.Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Hata wewe naweza eti .. MamiiNi wewe na ushawish wako siku hiyo.
Tunapigana telo hapa kama vpPesa mkuu.. ningekua nayo ningeandaa mje. Natamani kweli yani hili jambo lijirudie nishiriki
Nitakupitia twende
Mscheewww. We mnyatunzu hatuandai uwanja wa pambano ila kula bata. Siku hiyo utakua bby wako nakubana hutapata nafasi hata ya kunyoosha kidole.
Basi tufanye ya kwetu tuSiendagi kwny party mm
Naikumbuka ya Escape One.Naona mnataka kurudisha enzi za White party pale Kerby hôtel na JF get together pale Escape one, wazo zuri
Sisi wengine tutasubiri report hapa km kawa
Elfu 10 ni nauli tu hahaMchango usizid elfu10
Hahaha ,pale juu sio ?Naikumbuka ya Escape One.
Umeandika kinyume ama namna gani.Good idea!...ngauna nomko jaho!
Yap yap!Umeandika kinyume ama namna gani.