JF Party On My Mind

Kwani kuna shida gani mtu akijua ID yako? Wewe una kipi hadi serikali ikutafute kwenye hiyo party? wakati hujawahi kumtukana hata Mod? Muda wote huko chit chart na Demiss mnazungumzia Mikuyenge na papuchi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jinga kabisa wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siku ya kukutana wanajf natumai 95%watakuwa na magari yao, 98%mademu wakali,
75% wanaume mahandsome
90%kila ashasafiri njema ya Africa walau Mara moja.
75% wamesoma sana wanajua mambo mengi.great thinkers
85.9% wanajua siasa balaa ,na mfumo mzima wa utawala.
Hii ni kwa mujibu wa members wote namna wan a how as I kish a mada humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…