JF Party On My Mind

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,nadhani itakua hivyo
 
Enzi nikiwa anonymous niliona JF party ishatokea watu 'waligongana' balaa nanii zilikutana vya kutosha

Watoto walipatikana wa kutosha,michepuko ya kudumu na ya muda mfupi hewalaa

wenye akili walidaka madili ya maana

etc etc etc
Aiseee
 
hii content yako " nitaichukulia kama namna ambavyo ilivyo id yako
 
Hajui majoka yanashinda humu yanasoma na kufuatilia. Siku hiyo yatasomba kila mtu yakidhani ni Salary slip na wengine. Achana na siye hapa raha yetu kuongea kwa u fake majina basi.
kabisa mkuu
 
Nitaandaa Mimi na crew yangu part kubwa ya Greatthinkers yenye creativity kubwa!! Mtainjoy sana I hope!
 
Ndo maana

Tusiosoma kama Mimi tunaogopa kwenda

Tusio na magari tunasita

Tusio warembo tunarudi nyumba

Tusowahi kufika hata mpk wa Uganda na Tanzania tunachelea
Tusiojua English ndo kabisaa...

Maskini kama Mimi naona ntaumbuka tu!!![emoji3][emoji16][emoji23]
 
Mtaenda wenyewe, mie wala, nije hapo halafu uniombe simu kubipu mtu ukaingia JF yangu ukaniona! Makutaniko mazuri ni PM tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…