Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,nadhani itakua hivyoSiku ya kukutana wanajf natumai 95%watakuwa na magari yao, 98%mademu wakali,
75% wanaume mahandsome
90%kila ashasafiri njema ya Africa walau Mara moja.
75% wamesoma sana wanajua mambo mengi.great thinkers
85.9% wanajua siasa balaa ,na mfumo mzima wa utawala.
Hii ni kwa mujibu wa members wote namna wan a how as I kish a mada humu
hahaaaumetumwa??? Siku unaenda kwenye hayo makutano unakutana na baba yako au mtu anayekudai itakua nuksi
event ilifanyika wapi ""?Mwaka Jana tulikutana baadhi ya member tulikuwa 20+ .
Hakika ilipendeza sana.
Hii pia Mimi nipo tayari
AiseeeEnzi nikiwa anonymous niliona JF party ishatokea watu 'waligongana' balaa nanii zilikutana vya kutosha
Watoto walipatikana wa kutosha,michepuko ya kudumu na ya muda mfupi hewalaa
wenye akili walidaka madili ya maana
etc etc etc
hii content yako " nitaichukulia kama namna ambavyo ilivyo id yakoNaunga mkono hoja
Mimi km tajiri mkuvwa hapa Dar nitagharamia vinywaji na chakula kwa wanaJf wote watakaojitokeza
Bila kusahau couples tatu zitakazopendeza zitapata nafasi ya kupiga lunch na dinner kwenye apartment yangu iliyopo Masaki kisha watalala hapo hadi majogoo
Hajui majoka yanashinda humu yanasoma na kufuatilia. Siku hiyo yatasomba kila mtu yakidhani ni Salary slip na wengine. Achana na siye hapa raha yetu kuongea kwa u fake majina basi.umetumwa??? Siku unaenda kwenye hayo makutano unakutana na baba yako au mtu anayekudai itakua nuksi
kabisa mkuuHajui majoka yanashinda humu yanasoma na kufuatilia. Siku hiyo yatasomba kila mtu yakidhani ni Salary slip na wengine. Achana na siye hapa raha yetu kuongea kwa u fake majina basi.
Ndo maanaSiku ya kukutana wanajf natumai 95%watakuwa na magari yao, 98%mademu wakali,
75% wanaume mahandsome
90%kila ashasafiri njema ya Africa walau Mara moja.
75% wamesoma sana wanajua mambo mengi.great thinkers
85.9% wanajua siasa balaa ,na mfumo mzima wa utawala.
Hii ni kwa mujibu wa members wote namna wan a how as I kish a mada humu
hahahaSiji ng’oo
hahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] so sie chini ya hapo hatuhusiki kabisaa...!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Labda tufanye jf party ya seniors, yaani 35+yrs ndio wahusike. Otherwise hiyo ya watoto wa under 30 italeta matatizo tu.
Siku mkipanga kukutana 35+ mnijulishe nijiunge.
Teeh, nyie bwana mna shida zenu nyingi tu. Kwanza sisi tushatoka kundi la vijana, tupo watu wazima sasa....[emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] so sie chini ya hapo hatuhusiki kabisaa...!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]