Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hata mimi idea yangu ilikua iwe December
Hahahahaha. Sasa hiyo ndo faida ya uchokozi ukipigwa utaachaNitapigwa, maana kuna watu humu nishavurugana nao wakijua huyu ndiye Mbao za Mawe hakika naweza kufa ukumbini kwa kipigo.
Mnihakikishie ulinzi wangu kwanza.
hahahaha sawa mziguaUna nini cha ajabu unachokifanya humu mpaka uogope mzazi wako kukuona JF? Dawa ya deni kulipa
Duh nitakuja na polisi.Hahahahaha. Sasa hiyo ndo faida ya uchokozi ukipigwa utaacha
Mmmh, sasa huu Mchango imekua party ya wanafunzi ?Mchango usizid elfu10