JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Ndo maana

Tusiosoma kama Mimi tunaogopa kwenda

Tusio na magari tunasita

Tusio warembo tunarudi nyumba

Tusowahi kufika hata mpk wa Uganda na Tanzania tunachelea
Tusiojua English ndo kabisaa...

Maskini kama Mimi naona ntaumbuka tu!!![emoji3][emoji16][emoji23]
Mwenzanguu. Kuna watu wamesoma vidato vyote kina sie wazungusha viuno mbona tutakoma hiyo siku
 
Labda tufanye jf party ya seniors, yaani 35+yrs ndio wahusike. Otherwise hiyo ya watoto wa under 30 italeta matatizo tu.

Siku mkipanga kukutana 35+ mnijulishe nijiunge.
Hehehe. Ubaguzi sasa huo ujue. Yani Mimi Nina miaka 34 useme mi mtoto kweli?
 
Umenichekesha comment yako pale juu[emoji23][emoji23][emoji23]

Tusiojua kiingereza...tusio na magari...tulio wabaya hapa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]

Hapana siji.
[emoji4] [emoji2] [emoji4] [emoji2] ndiyo best maana humu kuna mapedeshee na makyuti tu thijui wenye sura za baba hatuna nafasi
 
Back
Top Bottom