JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Good idea as long as watu hawatatambulisha ID zao /zetu tunazotumia huku JF.
 
Pole sana Mkuu😀😀😀
😀😀😀😀 Nimeshapoa. Waliomsindikiza wamesharudi tayari.
Najindaa sasa kwenda Bagamoyo kwa ajili ya jubilee ya miaka 150 ya ukirsto Tanzania. Hii yenyewe tunatakiwa kuchangia Tshs150,000/=
 
😀😀😀😀 Nimeshapoa. Waliomsindikiza wamesharudi tayari.
Najindaa sasa kwenda Bagamoyo kwa ajili ya jubilee ya miaka 150 ya ukirsto Tanzania. Hii yenyewe tunatakiwa kuchangia Tshs150,000/=
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
basi anza kufanya michakato mapema ili utimize malengo yako
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
basi anza kufanya michakato mapema ili utimize malengo yako
Sasa hiving nafanya sevingi ya hela zangu kwa ukamilifu. Nimepunguza hata bia. Kwasasa nakunywa Bia 4 tu kwa siku, kabla ya hapo nilikuwa nakunywa 9 kila siku🙄🙄
 
Sasa hiving nafanya sevingi ya hela zangu kwa ukamilifu. Nimepunguza hata bia. Kwasasa nakunywa Bia 4 tu kwa siku, kabla ya hapo nilikuwa nakunywa 9 kila siku🙄🙄
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Basi punguza kabisaaaaa uwe unapata even 1 hizo nyingine uendeleee kufanya saving
 
Back
Top Bottom