Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Story kwa ShayoKaaah!pale tunakaa tu tunapiga story tuu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story kwa ShayoKaaah!pale tunakaa tu tunapiga story tuu!!
Sawa [emoji16][emoji3][emoji3]We nenda tu,si yuko mdau mtaenda wote ,mie nitakua kwa Shayo ,nafuatilia live online [emoji23] [emoji23]
Sawa!!!Story kwa Shayo
Sawa [emoji16][emoji3][emoji3]
HahahahaSawa!!!
Ukijulishwa unistue namie kwenye hiyo party ya wahenga tehLabda tufanye jf party ya seniors, yaani 35+yrs ndio wahusike. Otherwise hiyo ya watoto wa under 30 italeta matatizo tu.
Siku mkipanga kukutana 35+ mnijulishe nijiunge.
MremboAkah!mwenzangu na miye naomba niwemo hawa under 35 hata miye nawaogopa!!!!!wengine wanaafiki tu!watafika kuchunguza watu
Teh, huko kwa wahenga we huna nafasi Vale... Nakutafutia nafasi kwenye under 25 haha!!Ukijulishwa unistue namie kwenye hiyo party ya wahenga teh
Yani nimekutukana kichaga ujueTeh, huko kwa wahenga we huna nafasi Vale... Nakutafutia nafasi kwenye under 25 haha!!
Hata huko alikotoka Askofu Rwaichi kuna raha balaaaaa😀😀😀😀😀😀Dar mna raha
Hapana sikupata hata senti moja!!!🙁🙁🙁Hata huko alikotoka Askofu Rwaichi kuna raha balaaaaa😀😀😀😀😀😀
Mkuu mbona hukuleta mrejesho? mchango ulitimia wa kukuwezesha kuja Dsm?
Good idea as long as watu hawatatambulisha ID zao /zetu tunazotumia huku JF.Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Hahahaha!!Yani nimekutukana kichaga ujue
😀😀😀😀 Nimeshapoa. Waliomsindikiza wamesharudi tayari.Pole sana Mkuu😀😀😀
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Nimeshapoa. Waliomsindikiza wamesharudi tayari.
Najindaa sasa kwenda Bagamoyo kwa ajili ya jubilee ya miaka 150 ya ukirsto Tanzania. Hii yenyewe tunatakiwa kuchangia Tshs150,000/=
Sasa hiving nafanya sevingi ya hela zangu kwa ukamilifu. Nimepunguza hata bia. Kwasasa nakunywa Bia 4 tu kwa siku, kabla ya hapo nilikuwa nakunywa 9 kila siku🙄🙄😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
basi anza kufanya michakato mapema ili utimize malengo yako
😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳Sasa hiving nafanya sevingi ya hela zangu kwa ukamilifu. Nimepunguza hata bia. Kwasasa nakunywa Bia 4 tu kwa siku, kabla ya hapo nilikuwa nakunywa 9 kila siku🙄🙄
Ushauri wako nimeupokea, nitakupa mrejesho😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Basi punguza kabisaaaaa uwe unapata even 1 hizo nyingine uendeleee kufanya saving