Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahaha, mm mshamba Rafiki ,mambo ya party kdg yamenipitaHujiii[emoji4] [emoji4] [emoji19] [emoji19]
Ngoja nije bhasi chapGood idea!wale makapuku wale
Mwenzanguu. Kuna watu wamesoma vidato vyote kina sie wazungusha viuno mbona tutakoma hiyo sikuNdo maana
Tusiosoma kama Mimi tunaogopa kwenda
Tusio na magari tunasita
Tusio warembo tunarudi nyumba
Tusowahi kufika hata mpk wa Uganda na Tanzania tunachelea
Tusiojua English ndo kabisaa...
Maskini kama Mimi naona ntaumbuka tu!!![emoji3][emoji16][emoji23]
Hehehe. Ubaguzi sasa huo ujue. Yani Mimi Nina miaka 34 useme mi mtoto kweli?Labda tufanye jf party ya seniors, yaani 35+yrs ndio wahusike. Otherwise hiyo ya watoto wa under 30 italeta matatizo tu.
Siku mkipanga kukutana 35+ mnijulishe nijiunge.
Kwa kweli itabidi iwe hvyooo...ila huku uswazi sijui ntapata watu wanaokaa huku maana wote wanakaa uzunguni jfHahahaha, muombe lift kwa wengine
[emoji4] [emoji2] [emoji4] [emoji2] ndiyo best maana humu kuna mapedeshee na makyuti tu thijui wenye sura za baba hatuna nafasiUmenichekesha comment yako pale juu[emoji23][emoji23][emoji23]
Tusiojua kiingereza...tusio na magari...tulio wabaya hapa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana siji.
Kaaah!pale tunakaa tu tunapiga story tuu!!Hahaha, mm mshamba Rafiki ,mambo ya party kdg yamenipita
Wa uswazi mwenzio ningekua naenda,ningekupitia tupande bus mapema tuwahi kufikaKwa kweli itabidi iwe hvyooo...ila huku uswazi sijui ntapata watu wanaokaa huku maana wote wanakaa uzunguni jf
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hapana mkwe tunapishana tu majira ya kuingiaKwani mkweo akiwa hayuko online ndo unamsema?
Tupangeni sikuKaaah!pale tunakaa tu tunapiga story tuu!!
Naweka dau, hata 30 hufiki.Hehehe. Ubaguzi sasa huo ujue. Yani Mimi Nina miaka 34 useme mi mtoto kweli?
[emoji2] [emoji2] Fanya mchakato unipeleke na kunisubiri kituoni!basiiWa uswazi mwenzio ningekua naenda,ningekupitia tupande bus mapema tuwahi kufika
InategemeaNaweka dau, hata 30 hufiki.
We nenda tu,si yuko mdau mtaenda wote ,mie nitakua kwa Shayo ,nafuatilia live online [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] Fanya mchakato unipeleke na kunisubiri kituoni!basii