bcoz i trust your capability my shemelaNdio mana nkupenda shemela
Safiiibcoz i trust your capability my shemela
karibu.. u deserve allSafiii
Unaumaliza mtima wangu ukisema na deserve all,karibu.. u deserve all
Hiyo itakuwa fursa kwa watu wasiojulikana kuanza kutembea na picha za wana JF coz cku hiyo watakuja km wote, binafsi siungi mkono madaNimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
UPDATE
Tumeshaarrange kila kitu kuhusu party kama date, location, dress code, Mchango na kila kitu.
Madame B atakuja na Uzi kuelezea mchakato mzima.
Mambo ni hiviiiiiii
Ununio tukafanye nini mkuu? Acha uoga. Party zote zilizopita mbona hakukuja difenda wala Pikipiki iweje hii? Tena enzi zile Ndo ilikua hatariMnajikusanya,zinakuja difenda kama 40 hivi mnakusanywa wote mnaenda kuhifadhiwa Ununio!..
Siamini anything about JF,sio cha security,anonymity wala party wala anything.....
Hata wakati nasoma JF kwenye simu yangu sitaki anybody to know Im on JF.....
Ndio unikute kwenye party?For what?JF?
Kwahiyo watu wote humu unazo? Kwanza umejiunga lini maana inawezekana hiyo Ndo sababu ya kujishtukiaHiyo itakuwa fursa kwa watu wasiojulikana kuanza kutembea na picha za wana JF coz cku hiyo watakuja km wote, binafsi siungi mkono mada
Duh. Wakubwa mnafaidi.. Saint Ivuga
Hahah, kufanya hivyo ni sawa na kumpa fisi bucha akulindieKwahiyo watu wote humu unazo? Kwanza umejiunga lini maana inawezekana hiyo Ndo sababu ya kujishtukia
Rafiki chura zitakuwepo?[emoji847][emoji847][emoji847]Kwahiyo watu wote humu unazo? Kwanza umejiunga lini maana inawezekana hiyo Ndo sababu ya kujishtukia
Hii exposure haijawahi acha kumuweka mtu kwenye risk mubasharaUoga tu huo mkuu. Sema sio mbaya nyie mnaoogopa tutawawakilisha na kina Max.
Kihansi tena!!Zitakuwepo rafiki tumeshatoa order kihansi watuandalie
Nice nice nice nice.
Siku hio lazima nikupigw denda hata kama NN akikuganda lazima nimzidi keteNi December 15 mkuu