JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.

UPDATE

Tumeshaarrange kila kitu kuhusu party kama date, location, dress code, Mchango na kila kitu.
Madame B atakuja na Uzi kuelezea mchakato mzima.

Mambo ni hiviiiiiii
Hiyo itakuwa fursa kwa watu wasiojulikana kuanza kutembea na picha za wana JF coz cku hiyo watakuja km wote, binafsi siungi mkono mada
 
Mnajikusanya,zinakuja difenda kama 40 hivi mnakusanywa wote mnaenda kuhifadhiwa Ununio!..

Siamini anything about JF,sio cha security,anonymity wala party wala anything.....

Hata wakati nasoma JF kwenye simu yangu sitaki anybody to know Im on JF.....

Ndio unikute kwenye party?For what?JF?
Ununio tukafanye nini mkuu? Acha uoga. Party zote zilizopita mbona hakukuja difenda wala Pikipiki iweje hii? Tena enzi zile Ndo ilikua hatari
 
Back
Top Bottom