JF Party On My Mind

Enzi nikiwa anonymous niliona JF party ishatokea watu 'waligongana' balaa nanii zilikutana vya kutosha

Watoto walipatikana wa kutosha,michepuko ya kudumu na ya muda mfupi hewalaa

wenye akili walidaka madili ya maana

etc etc etc
Hapo pa kulana akili kumkichwa. Madeal ni jambo zuri zaidi ambalo ndo nimeliangalia zaidi kwenye huo mkusanyiko.

Sema mpaka na watoto kupeana watu wako fasta sana
 
Unapotaja Party ya wajf wote ujue jf sio kikundi kidogo cha watu jf imebeba watu wa sehemu tofauti tofauti kuanzia ndani ya nchi mpaka nje ya mipaka ya Tanzania sasa utawakusanyaje watu hawa kwa pamoja?
Umeambiwa lazima watu wote wahudhurie? Hii ni hiyari ya mtu na muda wake
 
Yiih.. hapo kwenye couple najitafutia partner mapemaa nikalale kwenye upepo unapovuma
 
Hii mkipanga lazima nije...

Ila nikija nikiwakuta baadhi ya watu then it’s going down.

Bombs away and straight up ass whupin maana ugomvi wangu huwa hauishi.

Just make the date and I’ll show up ready to catch fade.
Mscheewww. We mnyatunzu hatuandai uwanja wa pambano ila kula bata. Siku hiyo utakua bby wako nakubana hutapata nafasi hata ya kunyoosha kidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…