Obviously ww ni mkyutiiiiiiiNa nani? Yaaani picha yangu ikitumwa humu wa kwanza nakudaka wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Wa pili 'shost' ila huyu siku hizi haingii.
Wee acha tuu sura za babu mzaa babuu zetuuBalaaaa!wengine tulivyo wabayaaaa!!!
Ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku kidogo nitume picha yangu wakati natuma picha kule jukwaa la likes...uwiii jasho lilinitoka nikaacha hadi kutuma ile picha niliyotaka nitume.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli shost maana humu haaahaaa
Hahaaa!!! Wasemaaa!!!waache watusambazeeeMi sinaga huo ujinga na ushamba wa mitandao!
Wanaofanya hayo ni hopeless creatures
Kabisaa!inakataa hadi filters!!;Wee acha tuu sura za babu mzaa babuu zetuu
Ndiyo maana nimemuambia hanijui.Mi sinaga huo ujinga na ushamba wa mitandao!
Wanaofanya hayo ni hopeless creatures
Haaaahaaaaa....mtoto mwenyewe mkaree unaogopa nini?Ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku kidogo nitume picha yangu wakati natuma picha kule jukwaa la likes...uwiii jasho lilinitoka nikaacha hadi kutuma ile picha niliyotaka nitume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] humu kuna wanaojulikana banaa na wanapenda hizo pigozNdiyo maana nimemuambia hanijui.
Na angejua mipango ya dec uwii[emoji23][emoji23]
Haahaaa filter inagoma kudadeekiKabisaa!inakataa hadi filters!!;
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]mi yalinikutaaa achaaa!bony akanishtua wasap halafu picha mbayaaaa!!!chunusiii...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]nilijutaa..kutoka haitoki karibu dkk 10 sina hamu atiiiHa ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku kidogo nitume picha yangu wakati natuma picha kule jukwaa la likes...uwiii jasho lilinitoka nikaacha hadi kutuma ile picha niliyotaka nitume.
Siamini kama unanifanyia hivi[emoji23][emoji23]Haaaahaaaaa....mtoto mwenyewe mkaree unaogopa nini?
Tuache sisi wenye sura za baba zetu tuogope[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo sasa!!!Haaaahaaaaa....mtoto mwenyewe mkaree unaogopa nini?
Tuache sisi wenye sura za baba zetu tuogope[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Me ukinisambaza umekwisha serious!.... Sijawa bango la matangazo wala sina hiyo hobbyHahaaa!!! Wasemaaa!!!waache watusambazeee
Hahaaa...msiojulikanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] humu kuna wanaojulikana banaa na wanapenda hizo pigoz
Ila sisi nah nah!
Ndiyo hapo sasa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] humu kuna wanaojulikana banaa na wanapenda hizo pigoz
Ila sisi nah nah!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]mi yalinikutaaa achaaa!bony akanishtua wasap halafu picha mbayaaaa!!!chunusiii...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]nilijutaa..kutoka haitoki karibu dkk 10 sina hamu atiii
Umeona eeehh!!!kwa nini unisambazeeMe ukinisambaza umekwisha serious!.... Sijawa bango la matangazo wala sina hiyo hobby
Nakumbuka niliona comment yako kuhusu hii issue ha ha ha kwanza wanatoaje yasije nikuta siku nikakimbia ID bure[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]mi yalinikutaaa achaaa!bony akanishtua wasap halafu picha mbayaaaa!!!chunusiii...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]nilijutaa..kutoka haitoki karibu dkk 10 sina hamu atiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka.Me ukinisambaza umekwisha serious!.... Sijawa bango la matangazo wala sina hiyo hobby
Yaaan kujua namba angu na picha zangu whassup ndo unilete JF?[emoji15] [emoji15]Umeona eeehh!!!kwa nini unisambazee