JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Kwani vinywaji wanapewa? sasa mimi na Shunie si tutawapunja jamani? Mi naona hiyo elfu 10 kwa ajili ya venue vingine mtu anajitegemea. Sijawahi enda party tukapewa vinywaji au msosi aisee.. labda iwe kitu kama dinner party hivi kuwe na msosi na vinywaji
Eti mtawapunja.....ila elfu 10 ni ndogo hata kwa venue sidhani kama inatosha.
 
Back
Top Bottom