Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni kwamba tatizo tunataka tujue jinsia yako, maana humu jf kuna mambo ya ajabu sanakuna tatizo kwani?
Ok nakuja pm tutalewana hukohukoOk mi ke? then what
Kufika mwisho qa siku ya leo utakuwa umeshapajua tu!🙂🙂🙂🙂 cjawahi kupajua pm mkuu
Mods wapo kwa ajili ya hiyo kaziMkuu mi mgeni humu, si ni vitu vya kuelekezana au ?
kule kwetu tunaita inboxPM? Ndo nn mkuu?
[emoji7] [emoji7] karibu mremboke mkuu, picha iko kwenye avatar
nakuja kukujuza soon[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]🙂🙂🙂🙂 cjawahi kupajua pm mkuu
ke mkuu, picha iko kwenye avatar
Iko tofauti sana na mitandao mingine ya kijamii, na kikingine ni kuwa naweza pata habari mbalimbali za muhimu bila kuhangaika na tv. majukwaa yametengenezwa kwa namna ambayo karibu kila mtu kuna sehemu atavutiwa. ni hivyo mkuuKilichokuvutia hasa kujiunga ni nini!??
Kabisa Mimi nimepata deal humu JFIko tofauti sana na mitandao mingine ya kijamii, na kikingine ni kuwa naweza pata habari mbalimbali za muhimu bila kuhangaika na tv. majukwaa yametengenezwa kwa namna ambayo karibu kila mtu kuna sehemu atavutiwa. ni hivyo mkuu