JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Mkuu,Gorky alikuwa mwanafasihi pia mwanasiasa wa enzi za Usovieti,kazi zake na mchango wake wa mawazo uliweza kuiweka Bolisheviks kwenye ramani mkuu
Asante mkuu wangu Kwa kunipa mwanga ngoja nimsome kiundani zaidi,maana imenistaajabisha kuona Mzee mkubwa hapo akipata madini na kakaa Kwa kutulia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…