Picha ilipigwa nyumbani kwake kijijini Mwitongo baada ya mwalimu kung'atuka madarakaniHivi hii picha ya mwalimu nyerere ilikua ni lini na hapa picha ilipopigwa ni wapi?View attachment 1981668
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi tukiwa na hela kweli. Cent 30 zinanunua gazeti
Kumbee, safi sanaPale UDSM Libary kuna sehemu inaitwa SPECIAL RESERVE. Ukienda pale wanazo kopi za magazeti hata ya miaka ya kuanzia 1920, yaani miaka 40 nyuma ya uhuru wetu. Kuna siku walikuwa wameyaleta kwenye maonyesho nilishangaa sana. Magazeti ya kipindi cha ukoloni wanayo na huwa wanatunza nakala kila siku hadi leo hii. Wasomi nao mambo yao ni ya ajabu sana, wanaweza kukusisimua katika kiwango cha ajabu sana
Duuuh, Ila ujen kweli maana wazungu hawatamanishiMkuu Toto kama hilo nikilipata sisiti kulia na kulileta Denmark. Na panga kuja bongo karibuni kuyasaka.
Mamaee ili likiporomoka afe yeye.
Ni kweli kabisa. Niliwahi kufika pale siku moja nikiwa pamoja na rafiki yangu mmoja anaitwa Bishanga Bashaija tambulamaloko ntinti na ntaleKumbee, safi sana
watu wanatoka mbali Sana broo kikubwa ni kumheshimu Kila mtu na kuongeza bidii katika mapambano ya Maisha daaaa inafikirisha!