JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Hivi hii picha ya mwalimu nyerere ilikua ni lini na hapa picha ilipopigwa ni wapi?
nyerere13bc.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale UDSM Libary kuna sehemu inaitwa SPECIAL RESERVE. Ukienda pale wanazo kopi za magazeti hata ya miaka ya kuanzia 1920, yaani miaka 40 nyuma ya uhuru wetu. Kuna siku walikuwa wameyaleta kwenye maonyesho nilishangaa sana. Magazeti ya kipindi cha ukoloni wanayo na huwa wanatunza nakala kila siku hadi leo hii. Wasomi nao mambo yao ni ya ajabu sana, wanaweza kukusisimua katika kiwango cha ajabu sana
Kumbee, safi sana
 
Back
Top Bottom