Juzi nimekunywa togwa ya mtama, tamu halafu inashibisha balaaHizi enzi hazipo tena.. Siku hizi ni mwendo wa energy drink za kemikaliView attachment 2011116
Tulikuwa tunaziita tetracycline enzi hizo
They were giantsKikosi cha Taifa stars 1975View attachment 2012614
Zilikua zinauzwa senti tano. Sehemu nyingine wakiita lawalawa😀😀😀