JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Dah.. Umenikumbusha mbali mno.. Kumbe enzi yetu ilikuwa tamu nanusu
 
Kuna 1.crime against humanity
2.wa Namibia walifanikiwa kwa
German kwa matendo waliowafanyia natives wa nchi hiyoo
Chaa ajabu kesi ya nyani anapelekwa ngedere
Hao waliweza kwakuwa walikuwa wamoja.. Sisi bado tunapambana wenyewe....[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Hao waliweza kwakuwa walikuwa wamoja.. Sisi bado tunapambana wenyewe....[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Inasikitisha sana mkuu 60yrs bado hatuna short long term plan kila ajae anakuja na plan zake na mikwara kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…