Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hii ndo togwa, naijua kindi na mbegeHizi enzi hazipo tena.. Siku hizi ni mwendo wa energy drink za kemikaliView attachment 2011116
"Pigo jingine moja, pigo lenye nguvu, pigo takatifu"UmsolopagaaziView attachment 2013636
Hawa watu wanatakiwa kulipa fidia kwa enslavement waliokuwa wanawafanyia wazee wetu
Dah.. Umenikumbusha mbali mno.. Kumbe enzi yetu ilikuwa tamu nanusu"Pigo jingine moja, pigo lenye nguvu, pigo takatifu"
"Wako wapi wale walioipanda ngazi kuu? Siwaoni"
"Sikuwa Inkoskaz, tutakufa pamoja"
"Mtakaponizika uso wangu uelekezeni kwenye nchi wa Wazulu"
Umsolopagaaz alikua mtu na nusu kwenye Safari za Allan Quaterman
Kuna 1.crime against humanityNani wa kufile kesi?
Hao waliweza kwakuwa walikuwa wamoja.. Sisi bado tunapambana wenyewe....[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Kuna 1.crime against humanity
2.wa Namibia walifanikiwa kwa
German kwa matendo waliowafanyia natives wa nchi hiyoo
Chaa ajabu kesi ya nyani anapelekwa ngedere
Inasikitisha sana mkuu 60yrs bado hatuna short long term plan kila ajae anakuja na plan zake na mikwara kibaoHao waliweza kwakuwa walikuwa wamoja.. Sisi bado tunapambana wenyewe....[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
True African giant in musicInde Monie....View attachment 2014281