JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

......wifi zangu mna mambo....[emoji445][emoji444]...mambo yenu ya ajabu..... jamani nifanye nini....ooh...ooh...nifanye nn...
..
Naelewa mazoea .... Yana taabu, lkn nitajitahidi kusahau×2...

.....kwanza mngeniuliza,....kipi ananipendea,...mnadhani miti shamba.....na mapenzi hayana dawa....jamani nifanye nini....ooh...ooh nifanye NN....

KIDA WAZIRI.......jamani huyu mama yupo wapi siku hizi?....
 
Dah! Nmekumbuka mbali sana tulivamiwa nyumbani na hilo jiwe walitumia kuvunja mrango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…