JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Hizi ni riwaya za marehemu musiba na star wetu ni Willy Gamba
Je riwaya gani unaikubali katika hizo ambayo star wetu alicheza vizuri sana?
Mimi ni kufa na kupona Je wewe?
Sababu gani ukapenda riwaya hiyo?
Wahenga mnasemaje kuhusu riwaya hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…