JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Kansa nyoko
 
Walio simama kutoka kushoto Ni Mh: Majaaliwa na waliopiga magoti wa pili kutoka kushoto Ni Mwalimu Kashasha, wakiwa Butimba TTC.View attachment 2332658
Hii picha ingeenda katika Uzi wa Mshana ule wa "Tafsri ya picha katka ulimwengu wa kiroho "hasa ukiangalia Mh. Majaliwa alivyojiweka pembeni na wenzake utadhani alijua kuwa kabisa kuwa hawa wengine si jamii yake huko mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…