JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Mda umeumaliza
Screenshot_20220909-195648_Google.jpg
 
Anaitwa Céline Dion Amezaliwa Charlemagne,Quebec"Canada Mwaka 1968 Ni Mwimbaji Na Mtunzi Wa Nyimbo Mashuhuri Za Pop Kutoka Nchini Canada Alianza Kuimba Mnamo Mwaka 1980 Anatunzo 243
World's Best Female Artist, Best Live Act World's Best Entertainer of the Year "World's Best Song N.k
Kwasasa Anasumbuliwa Na Kansa.View attachment 2331922
Pole yake
 
Ngome ya Balmoral au Kasri la Balmoral (the Balmoral Castle), haya ni Makazi ya Malkia Elizabeth II yaliyoko katika Mkoa wa Aberdeen (Aberdeenshire) nchini Scotland, ambayo ni moja ya nchi 3 zinazounda Great Britain, nazo ni England, Scotland na Wales. Scotland pia ni moja ya nchi 4 zinazounda Uingereza (United Kingdom) ambazo ni England, Scotland, Wales na Northern Ireland.

Balmoral Castle ndipo mahali ambapo Malkia Elizabeth II alimalizia safari ya maisha yake hapa duniani. Balmoral Castle ilianza kujengwa mwaka 1853 na kumalizika mwaka 1856, yaani miaka 166 iliyopita. Mikoa mingi ya Uingereza ina Kasri angalau moja ambayo ni Makazi ya Malkia na sasa ni Makazi ya Mfalme Charles III. Makasri hayo yalijengwa zamani sana.

Screenshot_20220910-142431.jpg
 
1664281930359.jpeg

Cheki hawa Weupe walivyo na roho mbaya! Angalia huyu mama nyuma ya huyu nigga.

Mnamo mwaka 1957, watu weusi wapatao tisa walifanikiwa kujiunga na All-White Central High School ktk Little Rock, Arkansas, Marekani. Haikuwa kazi rahisi kwani jeshi liliingilia kati ili kuzuia machafuko yasitokee.

 
Back
Top Bottom