Kingunge alizaliwa ivo ivo?Wanasiasa wa zamani
Kutoka kushoto JUMA AKUKWETI
Katikati mzee kingunge
Wa mwisho tumtemeke sangaView attachment 2586422
Mshana we muhenga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]LEO KTK HISTORIA YA SOKA LA TANZANIA: Mwaka 1988 ulikuwa mwaka wa klabu kongwe za mjini Tanga yaani African Sports (Wanakimanumanu) na Coastal Union (Wanamangushi au Mbweha wa Tanga). Enzi hizo Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD) ndio ilitujuza.