Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo kdg hapo Mshana...
Kipindi Africa kukitokea chochote cha kimataifa, wanatulia kutoa matamko mpaka Dar es Salaam itoe la kwake kwanza, eti sasa hata Rwanda wananyosha kidole!Enzi hizo miamba ya Siasa bara la Afrika kama sio Dunia miaka ya 80 kurudi nyuma hutawakosa hawa [emoji116]View attachment 2585104