JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

May be an image of 3 people, people standing and text that says 'MALIKIA Elizabeth wa Il akizungumza na wanamuziki wa kundi la The Jackson Five alipokutana nao mwaka 1977. T'
 
Sherehe za Uhuru,1961.
Flypast ya Jet fighters 6 katika formation baadaye ukasikika muungurumo kama wa radi ghafla likaonekana dege kubwa aina ya Vulcan(ilikuwa haijawahi onekana Tanganyika) likapita chinichini likasalute na kurudi zake Nairobi.(Tanganyika kulikuwa hakuna uwanja wa kutua hili dege.
May be an image of standing and outdoors
 
Hii mitandao imekuja haribu mambo yote
Enzi zetu ilikuwa mnapo kutana mambo yanaishia hapo hapo ukiona kainamisha kichwa chini kisha ingia kwenye uwanja wa mapambano kazi kwako
FB_IMG_1680979550545.jpg
 
Back
Top Bottom