Kwenye picha mvulana mdogo Ilikuwa ni Jet Li, ambaye sasa ni maarufu, alipokuwa mjumbe wa ujumbe wa sanaa ya kijeshi ya China, na alikuwa akipeana mkono na Katibu wa Jimbo la wakati huo Henry Kissinger.
Miaka 17 sasa toka mwanamuziki moshi william atutoke duniani
Mwanamuziki moshi alipitia bendi mbalimbali lakini bendi iliyomtambulisha ilikuwa polisi jazz band
Alijiunga na juwata mwaka 1982 na wimbo wake wa kwanza kutunga akiwa na msondo unaitwa Hamida
Ametunga na kuimba nyimbo nyingi sana akiwa na bendi ya msondo
Wahenga naomba mtufamishe jina lake kamili anaitwa SHABANI ALLY MHOJA KISHIWA je sababu gani akaitwa MOSHI WILLIAM?
Nyimbo zipi za marehemu moshi wewe unazikubali?
Moshi aliacha mke ambaye naye amefariki Asha wana seifu na watoto wanne Hassani,Rama,Mahada na maika ambao alipenda kuwataja kwenye nyimbo zake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.