Katika staa ambaye alipendwa duniani huyu bruce lee
Kuna vitu wazee wetu na kaka zetu waligeza staili yake na mambo yake
Wengi walitengeneza cheni yake ya kupigania
Wengine waliweka kokoto kwenye kalahi waote sugu kwenye mikono
Wengine akipigwa akitoa damu analamba
Wahenga karibuni