GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
[emoji1][emoji1][emoji1]you made my day
Hahahaaa mzee wa kuchanganya mistari ya Biblia na Quran
Saivi amekuwa kipofu kwa uzee nasikia daah wakati ni ukuta
Nilimfahamu akiwa RC Kigoma mwamba kweli kweli saivi kabakia maneno tu. Mungu ampe nafuu🙏🏾🙏🏾