JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Alikuwa mpiga gitaa la kati katika bendi ya sikinde na ndekule
Marehemu ALLY MAKUNGURU
Ndiye mtunzi wa nyimbo ya juddy wa ndekule
FB_IMG_1683392030450.jpg
 
Wale ambao walikuwa wanafatilia movie za Kihindi wanamkumbuka sana huyu jamaa kwenye movie ya shaan
Huyu anaitwa mazhar khan kwenye movie ya shaan alicheza kama kilema akitumia jina la Abdul
Huyu jamaa kwa sasa ni marehemu ndiye alikuwa mume wa staa zeenat a man walijaliwa kupata watoto watatu
Alizaliwa mwaka 1955
Alifariki mwala 1998
FB_IMG_1683392215815.jpg
 
Huyu ni mwanamuziki hodari sana lakini watu awamtaji sana ,mmoja wapiga solo ambaye ameanzia mbali
Adolf Mbinga
Amepigia Diamond sound
Twanga pepeta
Mchinga sound
Sasa Sikinde
FB_IMG_1683392287036.jpg
 
CASTRATION OF SLAVES(KUHASIWA WATUMWA)
-Watumwa wengi waliopelekwa bara la Asia alitolewa maeneo yafuatayo:-
.Abisynia
.Darfur.
.Korodofan
. Zanzibar
.Na maeneo mbalimbali ya bara la Africa
N:B Masikitiko makubwa ni kufanyiwa vitendo vya Kuhasiwa/kukatwa viungo vyao vya uzazi pasina ganzi ili pelekea wengi wao kupoteza maisha kwa kupoteza damu nyingi sana na walifanya kwa kuwa wengi wa hao watumwa walipelekwa kuwa kama ma house girl na ma house boy na walinzi wa makasri ya kifalme.
-Mfamo mzuri ni huyo mwamba pichani anaitwa Moorish Eunuch alikuwa muhanga wa kukatwa nyeti enzi za biashara ya utumwa ulifanywa na Mwarab alifanya bega kwa bega na Mzungu.
Screenshots_2023-05-06-20-01-38.jpg
 
Mwanamuziki toka zambia alikuja kuimbia bendi ya MAQUIS
Anaitwa ROSE MWAPE
ALIIMBA VIZURI SANA KWENYE WIMBO WA MAKUMBELE 2
FB_IMG_1683392545863.jpg
 
Back
Top Bottom