Wale ambao walikuwa wanafatilia movie za Kihindi wanamkumbuka sana huyu jamaa kwenye movie ya shaan
Huyu anaitwa mazhar khan kwenye movie ya shaan alicheza kama kilema akitumia jina la Abdul
Huyu jamaa kwa sasa ni marehemu ndiye alikuwa mume wa staa zeenat a man walijaliwa kupata watoto watatu
Alizaliwa mwaka 1955
Alifariki mwala 1998
Huyu ni mwanamuziki hodari sana lakini watu awamtaji sana ,mmoja wapiga solo ambaye ameanzia mbali
Adolf Mbinga
Amepigia Diamond sound
Twanga pepeta
Mchinga sound
Sasa Sikinde
CASTRATION OF SLAVES(KUHASIWA WATUMWA)
-Watumwa wengi waliopelekwa bara la Asia alitolewa maeneo yafuatayo:-
.Abisynia
.Darfur.
.Korodofan
. Zanzibar
.Na maeneo mbalimbali ya bara la Africa
N:B Masikitiko makubwa ni kufanyiwa vitendo vya Kuhasiwa/kukatwa viungo vyao vya uzazi pasina ganzi ili pelekea wengi wao kupoteza maisha kwa kupoteza damu nyingi sana na walifanya kwa kuwa wengi wa hao watumwa walipelekwa kuwa kama ma house girl na ma house boy na walinzi wa makasri ya kifalme.
-Mfamo mzuri ni huyo mwamba pichani anaitwa Moorish Eunuch alikuwa muhanga wa kukatwa nyeti enzi za biashara ya utumwa ulifanywa na Mwarab alifanya bega kwa bega na Mzungu.