JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

FB_IMG_1686866541319.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha ya kumbukumbu
Hii ilikuwa mashindano ya afrika mashariki na kati mwaka 1991
Aliyetangulia ni refa wa kimataifa enzi zile Juma Ally David toka zanzibar
Anayefata ni ZAMOYONI MOGELLA
Mwingine huyo ndogo ni MOHAMEDI DEWJI ukipenda MO DEWJI
Mwingine marehemu MAKENZI RAMADHANI
FB_IMG_1686873150525.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom