Yeah! Azimio ambalo liliturudisha nyuma kwa kiasi kikubwa sana kiuchumi...
Tuletee Historia ya huyu mtu ndg
Is he masoud Masoud Radio Tanzania presenter?Tbt
Kutoka kushoto anaitwa MASOUD MASOUD AU DJ NEAGGER JAY
Katikati marehemu SHABANI SATTO (SHEBBY B-alikuwa katibu wa chama cha muziki wa disco tanzania
Kulia marehemu JOHNSON KALIKAWE (dj kalikali)View attachment 2659158
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji54][emoji54][emoji54]huyu ndiye marijani kumbe?Marijani na baraka mwinshehe nani gwiji wa mda woteView attachment 2663704View attachment 2663705
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu proffesor ndumila kuwili simuoni
Ndio mpiga picha [emoji23]Mwanangu proffesor ndumila kuwili simuoni
Dah!Kwa hiyo hapo miguuni walivaa kobazi pia!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1912
Shule wakati wa utawala wa Mjerumani.
Kabla ya kuingia darasani asubuhi mnapasha misuli.View attachment 2651540
Sent using Jamii Forums mobile app
Soft copy yake inaweza patikana mkuu?.