JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

[emoji1][emoji1][emoji1]you made my day

Hahahaaa mzee wa kuchanganya mistari ya Biblia na Quran

Saivi amekuwa kipofu kwa uzee nasikia daah wakati ni ukuta

Nilimfahamu akiwa RC Kigoma mwamba kweli kweli saivi kabakia maneno tu. Mungu ampe nafuu🙏🏾🙏🏾
 
Hahahaaa mzee wa kuchanganya mistari ya Biblia na Quran

Saivi amekuwa kipofu kwa uzee nasikia daah wakati ni ukuta

Nilimfahamu akiwa RC Kigoma mwamba kweli kweli saivi kabakia maneno tu. Mungu ampe nafuu[emoji1488][emoji1488]
Wakati si milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…